Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,774
- 256,799
Hao wanapatikana FacebookUmemtoa wapi huyu?
Hao wanapatikana FacebookUmemtoa wapi huyu?
Vinapigaga mizinga hivi vikiamua kukupea yote vinakupea
Share handle yake mkuuHao wanapatikana Facebook
Mizinga yao siyo mirefu ukiiweka laki 2 kila baada ya siku moja ukatuma 10000 anakupeya yoteee tu na anaish kistar uswahilini.Vinapigaga mizinga hivi vikiamua kukupea yote vinakupea
Nimekuta picha nimedownload tu sina nalojua mkuu.Share handle yake mkuu
Sahihi kabisa kuna kimoja kilikuwa hadi elfu 2 ya kidali kinaomba 😅Mizinga yao siyo mirefu ukiiweka laki 2 kila baada ya siku moja ukatuma 10000 anakupeya yoteee tu na anaish kistar uswahilini.
Buku 2 ya kidali unamrushia ya kuku mzima wee yaani mtaa mzima atajiona msupuu yeyeSahihi kabisa kuna kimoja kilikuwa hadi elfu 2 ya kidali kinaomba 😅
Sema vina majibu ya ovyo wakati mwingine
Kabisa au unakaongezea na chips yai usiku ukikaita kataikatikia unaweza kusema itang'ofokaBuku 2 ya kidali unamrushia ya kuku mzima wee yaani mtaa mzima atajiona msupuu yeye
Basi nimesearch kwa lens ni picha ya group ilikua uploaded kitamboNimekuta picha nimedownload tu sina nalojua mkuu.


