Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mansoor
698D24DF-D004-4143-90BB-4E092D7D70F3.jpeg
 
Waseme mwanza nataka nika appeal
Jukwaa ni la jokes
Why umjoke mtu na bado tu wakuniniu
Mimi ndo nilikuchongea kwa mods

Kuna jukwaa mi kumbe nilishalimwa ban ya maisha bila kutambua wala kuambiwa maana nilishaacha kulitembelea sana. Ila kuna mod mwelewa akanifungulia lakini nikaonywa kuwa nikikosea tu ananila kichwa permanently! Yaani...
 
Mimi ndo nilikuchongea kwa mods
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png

Kuna jukwaa mi kumbe nilishalimwa ban ya maisha bila kutambua wala kuambiwa maana nilishaacha kulitembelea sana. Ila kuna mod mwelewa akanifungulia lakini nikaonywa kuwa nikikosea tu ananila kichwa permanently! Yaani...
😃😃 walikulipa nn?

Ulifanyaje? Itakuwa ni yutong zako tu.
Hilo jukwaa kuna uzi walinipa ban ya week 6. Sijazimaliza wakaunga ya jukwaa zima 😂 sijakaa sawa wakaunga ya jf nzima.

Ah sahivi nirudi kuwa wa zamani
Mtu akimess up, me nalog out. Maana ukiendelea kuwepo hapo utajikuta umemjibu. Na hapo hapo kina SYB wanakureport kimya kimya
 
Back
Top Bottom