Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

walikulipa nn?

Ulifanyaje? Itakuwa ni yutong zako tu.
Hilo jukwaa kuna uzi walinipa ban ya week 6. Sijazimaliza wakaunga ya jukwaa zima sijakaa sawa wakaunga ya jf nzima.

Ah sahivi nirudi kuwa wa zamani
Mtu akimess up, me nalog out. Maana ukiendelea kuwepo hapo utajikuta umemjibu. Na hapo hapo kina SYB wanakureport kimya kimya
Ni huo huo.

Kumbe hata sasa nishaliwa kichwa dah! Nilikuwa napitia baadhi ya picha za ma supa dupa yutong nilizowahi kuposti huko na kuzifuta kumbe mod yupo ananilia timing....Na hii inashangaza maana picha zangu nyingi huko huwa zinafutwa anyway...

Itoshe tu kusema kuwa sitakanyaga huko tena

Screenshot_20230421_053743_Chrome.jpg

Nimependa jinsi walivyokuunganishia hizo ban. Huyo mod kama unamfahamu mwambie kuna Mirinda yake huku...

Just avoid the petty issues. I can tell. You are not as calm as you used to be back in the day...Remember?
 
Ni huo huo.

Kumbe hata sasa nishaliwa kichwa dah! Nilikuwa napitia baadhi ya picha za ma supa dupa yutong nilizowahi kuposti huko na kuzifuta kumbe mod yupo ananilia timing....Na hii inashangaza maana picha zangu nyingi huko huwa zinafutwa anyway...

Itoshe tu kusema kuwa sitakanyaga huko tena

View attachment 2594694

Nimependa jinsi walivyokuunganishia hizo ban. Huyo mod kama unamfahamu mwambie kuna Mirinda yake huku...

Just avoid the petty issues. I can tell. You are not as calm as you used to be back in the day...Remember?
May 21 ni mbali. 😂 pole
Wangekuwa wanaalert mtu basi, ila wao ni shwaaaa lokapu.

Utawafahamia wapi hao mods 😃😃 ni ngumu.

Yeah, I do remember 🥰 narudi zamani ASAP
 
Back
Top Bottom