Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,611
- 4,119
Utulie sasa😘
tho sina uhakika na hilo ila acha niseme tu
Utulie sasa😘
Hii ni kweli kabisa. Ukipata mpenzi ambaye mnapiga story mambo yanakuwa 🔥🔥🔥🔥
Even Jesus didn't go everywhere healing everyone...and in many cases you could hear Him clearly saying "imani yako imekuponya...sijaona imani kama hii katika Israel...." Miracles are not for everyone na hata wanafunzi wake kuna mambo yalikuwa yanawashinda mpaka wanakuja kuripoti kwa bosi wao...





