Melo kasema anashughulikia...huu uzi sikuhizi unaniuzi tu... picha hazisomi
Tumia browser tu badala ya App unayotumia.huu uzi sikuhizi unaniuzi tu... picha hazisomi
bora wewe siku moja wenzako tumeexperience hiyo hali kwa muda sasa mpaka naachaga kabisa kwa muda kuingia uzi wa vitukoDaaah leo sijui vp sioni picha yoyote kutoka JF
❤️❤️😋😋😋😍😘 Fine girl
Tangu zamani wakati nafuatilia kile kipindi chake pale CNN cha Quest means Business jamaa nilikuwa simuelewi alikuwa na vijitabia fulani vya ushoga 🤔Hii mijitu taka taka kabisaView attachment 2586676
Hii imekaa kama edit mbona mkuu


