Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,524
- 35,703
🤣🤣📌📌📌nakazia
Kwaiyo wenye sura mbaya tutaenda wapi sasa tuonee huruma basi daaah na hela hatuna sasa🤣🤣📌📌📌nakazia
Utapata wakukuona mfalme tu kila shetani ana mbuyu wake .......Kwaiyo wenye sura mbaya tutaenda wapi sasa tuonee huruma basi daaah na hela hatuna sasa
Hii dunia hii acha tu
😏😏😏☺️☺️☺️☺️ SawaUtapata wakukuona mfalme tu kila shetani ana mbuyu wake .......
Mtangazaji maarufu wa CCN...Ndio nani huyu