Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,705
na ndiyo tundu lenyewe sasa... ukisikia watu wenye umri mkubwa wanakwambia sina hata tundu basi ujue wanamaanisha TUNDU=1 HELLER
Kama siwezani niliwezaje kumzalisha? Tena hizi SDY hazihitaji kazi kubwa sana! [emoji16][emoji16]Utawezana au basi fahari ya macho
Mtu na kakaake wameumana[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2573384View attachment 2573385
Mtu tayari alikua na gari yake. Usimchukulie poaKwa ma jobless wenzangu π¨π¨π trust the process View attachment 2573504