TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,893
- 8,483
Tutaelewana tu
Wakiniletea daftari la lambilambi ndilo ntakalo andikia talaka, shubaaamiti

shughuli ipo
Kwahiyo hapao wanatia Kwa zamu!!Polyandry...
View attachment 2572064
Na ana nyama nyama kweli aiseeHuyo dada mwenye Zambarau ni mzuri kuliko hata huyo Superstar ila unaweza kuta huyo dada anatamani afanane na huyo Star
Huyu dish yupo wapi siku hizi!!?Haahhaaaaaa huyu msela huwa ananifurahisha sana!.
Kwa hiyo naye ni 'star'?.
Mlungu na nywele nyeusi hatari! 😍😍😍😍
Hiyo list hapo nilie muelewa kabisa! Ni wa pili kutoka mwisho! Hana mba mba mbaHakika wazulu ni wazuri Afrika nzima hamna wakilinganishwa nao.View attachment 2572277View attachment 2572278View attachment 2572279View attachment 2572280View attachment 2572281View attachment 2572284View attachment 2572283View attachment 2572285View attachment 2572286View attachment 2572287View attachment 2572288