Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,207
- 40,645
Nimesikia kakaUmesikia wewe?View attachment 2558666
Sawa...navaa 42
Sasa hapo anashangaa nini
Mmenifanya nimkumbuke mwanangu wa 2003, yaani mmeshaanza kuwala


Hiyo yohana 4;18 ya mwandishi imekua zaidi ya majungu,unafiki na uchonganishiKUWA MAKINI ANAYECHAPA KADI ZAKO ZA HARUSI
Mchapishaji aliombwa aweke 1Yohana 4:18 kwenye Kadi ya Harusi, lakini alifanya kosa kwa kutojumuisha "1" kabla ya Yohana hivyo akachapisha Yohana 4:18
1Yohana 4:18 inasema "Katika pendo hamna woga, bali pendo lililo kamili hufukuza hofu zote."
Lakini Yohana 4:18 inasema "Kwa maana umekuwa na waume watano hapo awali, na huyu uliye naye sasa si mume wako."
Bado tunamsihi mume kuwa ni kosa la Printer....
Wahala oo![]()
Yaani isikie tu kwa jirani...ila hapo kwenye makange weka ubwabwa maharage


Wamevaa suti za chuma sasa sijui wanatoka wapi na wanaenda wapi tena sijui wanaenda kufanya nini
Mipango imenyooka ila matokeo ni mangorongonjo ya watoto wa chekechea
Hii kweli kabisa
Kaka yangu hii hapana
Hataki mwanae afunzwe na walimwengu ameamua amfunze mwenyeweAfrican parentsView attachment 2560299
A lot of each other