Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Hata mimi. Kama kuna siku itatokea nikahamia upande wa pili basi itakuwa ni kwa sababu ya huyu sheikh [emoji16][emoji16][emoji16]
Tuseme InshaaallahHata mimi. Kama kuna siku itatokea nikahamia upande wa pili basi itakuwa ni kwa sababu ya huyu sheikh [emoji16][emoji16][emoji16]
Pushups 20 kwa generation ya sasa ni kipengele..
Sio mimiAkina Mcheme. Nyosheni mikono tuwajue [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2558853
Hii ni kweli kabisa...pisi kali ya mwisho ilikuwa wala sio tamu kabisa.
Dizain km jamii ile wanayopenda ukoo mzima kuish eneo mojaUkioa familia kama hii inabidi uwe mwangalifu sana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2558867
Lazima ujinyee hapo
Tupeane connection basi ni wapi huko unapokuwa one with nature?
heee kuna ni hukoo
kutambika kivipi yaan mbona km ajabu