Kumbe ilikua leo!!!Saa 7 mchana hii bado bila bila. Na inaweza isinyeshe.
Ndiyo maana wanaitwa watabiri wa hali ya hewa. Ni sawa tu na kubeti![]()



Jogoo anakula kifaranga
Kama hujaona ubaya wake basi samahani.... endelea tu kupostUbaya wake nini
Mshana muogope Mungu hizi picha usije ukaweka kilingeni mwako
Ya mbele atakua nayo...Ya wapi
Ndiyo Elimu yetu ilivyo toka form One mpaka university ni hivyo hivyo tuBackbencherView attachment 2560730