Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
HakikaMtoto halali na hela atazikodolea macho kodo usiku kucha![]()
HakikaMtoto halali na hela atazikodolea macho kodo usiku kucha![]()
Nimekumbuka Kuna watu wengine unamuuzia vocha, anataka umkwangulie,umuwekee na kuonganisha piaHapo kazi ipo.



Ooza T.o hilo anatuwakilisha vyema 🤣🤣🤣🤣Jana kuna NYAU moja ilikunywa POMBE mpaka ikalala mezani, kuja kushtuka pameshakucha.. 😂😂😂