BukuTatu_AlfuTatu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 250
- 559
[emoji23]
Mkuu una display namba za simu za watu unakochukua picha.
Mr light blue
Kuna watu wanakera sana[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2533903
Msukuma kwema?
Mie niko poaAisee sijambo.
Uko poa?
Mbona macho mida hii?
Pole...Mie niko poa
Usingizi umekata leo
[emoji16][emoji16][emoji16] we hayaPole...
Si angalau umpepee pepee shemeji? [emoji16][emoji2099]
Tena mkifikia level hii ndio mnampa hasira anachukua makombora makubwa makubwa
Yeah! Changamoto huwa haziishi. Steji hii ndo unagundua unachapiwa dah! [emoji706][emoji706][emoji706]Tena mkifikia level hii ndio mnampa hasira anachukua makombora makubwa makubwa