Ia Nina vijana wawili tayari na sina dought nao kabisa tangu utungaji wa mimba zao na hata walipo zaliwa! Nimefanana nao kwa asilimia kubwa pia hata wao wanafanana sana! Mbali na hivyo wana character nyingi za kufanana kabisa achilia mbali mama zao ni tofauti!