Asante sana[emoji173]View attachment 2525790
Tunasoma vitabu sio mwanamke bana. Msituchanganye akiliWakataa ndoa wanayajua haya?View attachment 2525792
Hapa! Wafu wanazikana
Camera man wa hovyo kabisa huyu! Hata hisia hana! Atakuja kung'atwa hata na nyoka huyu huko porini
Kama luku haijakata una washa hata jiko la umeme! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2523632
Na luku haijakata.
Haya majina wanayatoaga wapi! Mpaka kiisasambue madagasca sio leo!Afadhali hiki kina jina tunalojuaView attachment 2523683