Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,774
- 54,845
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA
HakunaOgopa hao watu wachache hapo juu
View attachment 2523628
Kwanini sasa usiwajibu?Nilale sasaView attachment 2523627
Unataka kusema YESU alikuwa anaupiga umbea na sio Injili kwa wanafunzi wake.Hakuna
Wanaume ndio wambea balaa
Naona unataka ufosi ladha ya dagaa ifanane na SatoUnataka kusema YESU alikuwa anaupiga umbea na sio Injili kwa wanafunzi wake.
MUHA ni Muha tu.Naona unataka ufosi ladha ya dagaa ifanane na Sato
Kifo kikija kinakuja. Unaweza kufa kiajabu ajabu tu.
Je, tunaweza kukiahirisha?
Kuna faida yo yote ya kukiahirisha?
View attachment 2522507
Pole.Kifo kinatisha...
Kifo kinaogopesha...
Kifo hakizoeleki....
Kuna mwaka nilikuwa nauguza mgonjwa hospitali ya Muhimbili, nilikuwa nashinda pale siku nzima naondoka saa tano au sota usiku kila siku....
Nilikonda haswa.
Hilo gari/machela inayobeba maiti kutoka wodini kwenda mochuari ni ya bati sasa ikiwa inatembezwa kwenye zile korido, unajua tuu tayari kjna mtu kesharudosha namba.
Ilikuwa inanipa taswira na fikra mbaya kila nikisikia muungurumo wa matairi wa machela ya bati.....
Sijui kwanini hawabuni namna ya kubeba marehemu kimya kimya kwa namna ambayo kama my haangalii hawezi jua kama maiti inapelekwa mochuari......





Umepigwa ban kwenye uzi gani?Yan Mods tokea wajue kutupiga ban za uzi husika ni wanatukomesha mno🥹🥹
Haya mambo anayaweza lijendi Yona peke yake


Wapi hapo? Mbona hiyo ni forumn/ jukwaa zima?
Pole sana.Wapi hapo? Mbona hiyo ni forumn/ jukwaa zima?
Feb 25 sio mbali
Me mpaka April 9.. wameninyoosha