Matipwa tipwa mapole hayana shida na mtu. Kwa nini mtu usiishi maisha marefu? Mpaka nitagonga 85+ wallahi na Mama E wangu....ndio kusema Shimba ya Buyenze ataishi maisha marefu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huo ni umbwiga kabisa



dah kwel njaa mbaya tupambane wanau tutafutepesa
France and Italy wanayo naked day...
Peleka kwenye jukwaa la bishar la na matangazo
Huyu Niki wa pili mbona sura yake imekaa kigambegambe sana
Dah hii kama ni Lori tunaita double differentialMatipwa tipwa mapole hayana shida na mtu. Kwa nini mtu usiishi maisha marefu? Mpaka nitagonga 85+ wallahi na Mama E wangu....
Sema Amen huko uliko![]()
