Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

2.6327719272300672E18.jpg
 
Labda sana sana Ulaya na Marekani...

Uzuri haya mambo hayanaga fomyula ni kila mtu na lwake. Fanya kile kiupendezacho moyo wako bila kujali washikaji zako wanasema nini...Kama unapenda sura, flat screen, slim thick, SDY, vimodo, full sulusuti etc go for it!
View attachment 2524687View attachment 2524689View attachment 2524690View attachment 2524692View attachment 2524693
Ni kweli ila hata bongo wapo pini kuliko hawa

Sema uzuri wa mwanamke upo machoni kwa mwanaume husika

Kila mtu ana macho yake

 
Back
Top Bottom