SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,278
- 3,565
Shida anajiheshimu sana [emoji81] alafu naogopa kutembea na mke wa mtu maadam naishi kwa watuUna mpango wa kumla?
Shida anajiheshimu sana [emoji81] alafu naogopa kutembea na mke wa mtu maadam naishi kwa watuUna mpango wa kumla?
Kama ni mke wa mtu hiyo ni danger zone mkuu. Hongera kwa kuheshimu ndoa yake [emoji122][emoji122][emoji122]Shida anajiheshimu sana [emoji81] alafu naogopa kutembea na mke wa mtu maadam naishi kwa watu
Nasali uje ujaribishe kwangu...
Ni midege hii ya kwenda Sauzi kama kawaida yako au mabasi ya kwenda Unyamwezini huko Igunga na Nzega? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
We ungeinuka? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Tuje tupange vizuri basi [emoji16][emoji16][emoji16]Aahahahahahaaaaa Siiimbaaaaaaa......[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sasa kama hivyo ndivyo, inabidi tukate flight moja.
Muda si mrefu ntakuwa na masafa marefu angani kuelekea ardhi ya upande mwingine....
Sasa ili nijaribishe kwako, tucheck in same flight same time, ili boarding pass ziwe za same line and row.
Hapo jaribio litakamilika, halafu ukuye ulete mrejesho kama utapigika shoti kama huyo jamaa au wewe utaanza kucheza tukunyema hapohapo....[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].
Kumbe na wewe ni mtundu hivyoo eeeehhhh....[emoji28][emoji28].
Tuje tupange vizuri basi [emoji16][emoji16][emoji16]