SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,280
- 3,562
KunywaNimepigwa Ban selfika![]()

KunywaNimepigwa Ban selfika![]()

Umefanyaje 🤣🤣🤣Nimepigwa Ban selfika![]()
VPN haitafungua? 😂😂Sijui itakuaje View attachment 2516107
Wamesema eti ilikuwa ya majaribio. Mkuu wa kiwanja yupo kwenye video akisema ni ajali wamekufa watu 10, mkuu wa Wilaya anasema yalikuwa ni majaribio. Only in Bongo my friend!
Mi nimekula pin ya miezi 6 pia kisa tu ile post. Halafu wengine mnafurahia 😭😭😬😬Umefanyaje 🤣🤣🤣
Hii week tamu sana kwa mods
Wananichekesha na mambo yao
Uliweka post gani? 😂😂😂 mm wananifurahishaMi nimekula ban ya miezi 6 selfika pia kisa tu ile post. Halafu wengine mnafurahia 😭😭😬😬
Kuna mshikaji yuko huko amesema hizi VPN za kuokoteza hizi za bure zitadunda. Itahitaji mtu uwe na zile sophisticated likely za kulipia...naona wameamua kweli kweli!VPN haitafungua? 😂😂
Si ile uliyokuja kunikandia kule? Yaani mtu mwenyewe nilijua utani tu kama ilivyo kawaida dah!Uliweka post gani? 😂😂😂 mm wananifurahisha
Yan nilimwambia mtu nimemmiss , wakafuta comment