Tena wanasema raha ya kutafuta hela ujanani utatumia na kijanaMambo ya retirement mazuri sana...ndio muda wa pesa na warembo kukutumikia wewe
A! 3some! Dunia sshv inaangamizwa
Nini kinaendelea hapa?
Huwa inatokea wanakufa. Huyu hapa alikufa na muuaji wake alifungwa miaka 10 japo baadaye ndugu wa binti walimsamehe na kuomba aachiliwe huru. Japo maelezo ya daktari yalisema kuwa binti alivunjwa koromeo lakini kijana alisema kuwa anaamini hakutumia nguvu sana japo anakiri kuwa walifikia mshindo kwa wakati mmoja na yawezekana katika pilika pilika hizo ndipo ajali hiyo ilipotokea.