Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,666
- 208,787
Ukome 😂😂😂Si ile uliyokuja kunikandia kule? Yaani mtu mwenyewe nilijua utani tu kama ilivyo kawaida dah!
Najuta mimi!
Yan unachokoza maboss? Ulisikia wapi?
Ukome 😂😂😂Si ile uliyokuja kunikandia kule? Yaani mtu mwenyewe nilijua utani tu kama ilivyo kawaida dah!
Najuta mimi!
Siyo Msukuma maana hamkawii
Msukuma pure huyoSiyo Msukuma maana hamkawii
Huyu si ndiyo alifanya TANESCO wakazima umeme kwa mkoa wa Mara zaidi ya masaa matatu? Afadhali hakufa!
Hata hamna nalojuaHuyu si ndiyo alifanya TANESCO wakazima umeme kwa mkoa wa Mara zaidi ya masaa matatu? Afadhali hakufa!
Only in Bongo my friend![emoji23][emoji24]Wamesema eti ilikuwa ya majaribio. Mkuu wa kiwanja yupo kwenye video akisema ni ajali wamekufa watu 10, mkuu wa Wilaya anasema yalikuwa ni majaribio. Only in Bongo my friend!View attachment 2516184
View attachment 2516187

Kachoka kutoa [emoji23]Ngumu kumezaView attachment 2516223