Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

MILIONI KWA SIKU UHAKIKA KWENYE CASINO UKICHEZA HIVI.


JINSI YA KUCHEZA..

Mchezo unatakiwa kua na option mbili (machaguo mawili) hapa kwenye hii jupita bet tuta deal na HEAD AND TAIL mchezo wa shilingi ambao unachagua either head or tail then una spin

Ikitokea umepatia unapata mara mbili ya dau lako yaani kama ukiweka buku maana yake unapata buku mbili.

Deal na option moja tu! Kama ni tail au head.

head ni 50% alaf tail ni 50% hivyo pande zote mbili zina nafasi karibu sawa .

Hivyo kama utaweka HEAD yaani

HEAD mara ya kwanza
HEAD mara ya pili
HEAD mara ya tatu
HEAD mara ya nne

Kwenye mara hizo nne kuna zaidi ya asilimia 100 head hutoa walau mara moja

UNAPIGA VIPI PESA


Round ya kwanza
chagua HEAD

Ukikosa
=>hasara ni buku mbili (-2000)

Raundi ya pili
HEAD ila safari hii una weka mara mbili yaani (4000)

umekosa tena...
=>Hapo hasara ni (2000+4000=6000)

Mara ya tatu tena HEAD kawaida double weka 8000


Ume tumia(2000+4000+8000=14000) wewe una 16000 faida 2000

Ikitokea ya tatu haija toa unaenda ya nne ambayo ndio ya Mwisho hapo ni mara mbili ya 8000 ambayo ni 16000
Unatoa 32000

Ukitumia (2000+4000+8000+16000= 30000) wewe una 32000 faida 2000

Hapa sasa ni wewe na pumzi yako kuzipiga hizo buku 2000 kwa siku


Casino ninayo tumia www.jupitacasino.site

Kazi kwako ..
Milioni kwa siku uhakika

Wewe utaokoa Watanzania wengi...

Ngoja nijaribu japo

Screenshot_20230204-114909_WhatsApp.jpg
 
We si mzee wewe?
Miaka 70 sperm za kudungisha umetoa wapi?

Congrats in adv

Avatar haijakaa mkao sambamba na jina

Thanks for the congrats...

Mwanaume hata awe 90 kama bado anaweza kupiga bao anaweza akakutungisha mimba...

Basi nitairudisha ile nyingine japo ilishaganichosha hatari ila nikijaribu kubadili tu nalalamikiwa. We mbona huwa unabadili kila wiki? Not fair!
 
Thanks for the congrats...

Mwanaume hata awe 90 kama bado anaweza kupiga bao anaweza akakutungisha mimba...

Basi nitairudisha ile nyingine japo ilishaganichosha hatari ila nikijaribu kubadili tu nalalamikiwa. We mbona huwa unabadili kila wiki? Not fair!
😂😂 najuaga mtu akifika 60s miguu inaishiwa nguvu

Me jina langu fupi, linaokoa hata nikibadili haishtui ama kuona utofauti sana

Sasa we umebadili tu kidunchu nimeona utofauti
 
najuaga mtu akifika 60s miguu inaishiwa nguvu

Me jina langu fupi, linaokoa hata nikibadili haishtui ama kuona utofauti sana

Sasa we umebadili tu kidunchu nimeona utofauti
Miguu inaishiwa nguvu?

Kama system bado inafanya kazi anaweza akazalisha. Sema tu sperms zinakuwa degraded kiasi kwamba possibility ya kupata mtoto mwenye developmental issues (physical or neurological) inaongezeka kidogo.

Avatar basi nitamrudisha tu Idris Alba wenu
 
Back
Top Bottom