Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Huu ndio unafiki wa viongozi wangu wa Kiislamu. Wanajioendekerza pendekeza serikalini mwishowe wanafanya mambo hovyo.. Wako tayari kukiuka dini ili mradi wawafurahishe wenye pesa ama wenye nacho.
Pesa haijawahi kumuacha mtu salama. Si huko kwenu tu. Angalia Ukristu ulipo sasa hivi yote ni sababu ya pesa. Huko kwenu angalau kuna kuonyana na kukaripiana. Huku kwetu kwa Wagalatia hakuna. Kila mtu ni nabii na mtume na anapuyanga kivyake - makufuru ya kila aina. Hovyo tu!

Screenshot_20230204-083840_YouTube.jpg
 
Back
Top Bottom