Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Nguo ya huyo mlimbwende iliachia kwa nyuma halafu mlimbwende hakuvaa kifunika maliwato hata wakajikuta wanapiga chabo kwa wakati mmoja?
Abarikiwe kila mzazi awatafitiaye wanawe bila kuchoka na bila kinyongoMsosi tayari...
View attachment 2505459

Huyo mvuvi aliyekukataza ukikutana naye Konyagi ndogo inamhusu. Ungekuwa una mkono mmoja sasa hivi!Meno yake ni balaa
Siku moja nilijuta amevuliwa mkubwa nikatama kumshika mdomoni aisee kuna mvuvi aliniwahi balaa akaniambia hayo meno ni zaidi ya kiwembe usijegusa
Huu ndio unafiki wa viongozi wangu wa Kiislamu. Wanajioendekerza pendekeza serikalini mwishowe wanafanya mambo hovyo.. Wako tayari kukiuka dini ili mradi wawafurahishe wenye pesa ama wenye nacho.hii nchi imepita kwenye vitimbwi sana!View attachment 2505408