Dah,hii simu yako kila siku haina chaji

Dah ndy hal ninaayo pitia
Pole sana mkuu,ila ipo siku moja hiyo hali unayopitia itakuwa historia.
Endelea kumuamini Mungu na usiache kusali. Ipo siku,simu moja tu itabadili historia yako.
Mungu ni mwaminifu sana.View attachment 2493862
Siuzagi mechi mimi hata iwe pisi kali namna gani. Unauza mechi halafu ndo unakamata hili gono lisilo na tiba mbona aibuuu!?Unauza mechi blaza![]()
Gono ni ajali kazini..nzi kufia kwenye kidonda sio zambiSiuzagi mechi mimi hata iwe pisi kali namna gani. Unauza mechi halafu ndo unakamata hili gono lisilo na tiba mbona aibuuu!?
View attachment 2493887

Jitahidi sana uepuke ajali zinazoepukika hata kama haziepukiki kwa kuepukika!Gono ni ajali kazini..nzi kufia kwenye kidonda sio zambi![]()
Mara nyingi huwa ni ubinafsi tu. Eti nikivaa kondomu sisikiagi utamu. Yaani utamu wako wa dakika 10 ndo unakufanya ulete kiumbe hapa duniani wakati hata uwezo wa kukihudumia huna!Tuache visingizioView attachment 2493916
Waoaji pia wasisitizwe kuuliza waume wa hawa wajane walikufa kwa magonjwa gani 😁Ngoja niende zangu Zanzibar nikamdake mpembaView attachment 2493921