Uroho tuMkuje huku mtusaidieView attachment 2490109
Duh! Huyu mbwa anajikoki! Kuna watu ni laaana kabisa
Alie agiza ana umbo kama la biringanya
Pale ni 7*4 sio 7*31 hapo ndipo ulipo ingia chaka MOTIVATION SPEEAKER[emoji3166]
Mbona hivi vitu wana promote sana! Kuna nini kinaendelea!!?
Wanaume nao wanapewa zawadi za magariUnadhan nani kamnunulia juma lokole hili gari?View attachment 2493151
Huyo anapumuliwa its obvious kabisaUnadhan nani kamnunulia juma lokole hili gari?View attachment 2493151
Hata bongo huwa wanazaliwa.
Yangekuwa poa tu. Labda ungesema bila ugali uwiiii hayangeishika aisee! [emoji16][emoji16]
Vitamu kweli kweli. Kuna kamoja kalinifinyia kwa ndani siku ya birthday yangu aisee kidogo nipate temporary brain paralysis...Shimbaaa[emoji39][emoji39]View attachment 2493304
Mwanaume utakuwaje mweupe? [emoji15][emoji15][emoji15]
Vina kazi gani hivi Mama Kijacho?
Shikamoo babu[emoji3059]Vitamu kweli kweli. Kuna kamoja kalinifinyia kwa ndani siku ya birthday yangu aisee kidogo nipate temporary brain paralysis...
Ila bado niko timu tinginya SDY [emoji116][emoji116][emoji116] - japo kwa sasa nitakuwa nakula kote kote...
View attachment 2493559
Aliyenyongwa ni Hamani bwana siyo Modekai [emoji16][emoji16][emoji16]