lyenyi
JF-Expert Member
- Mar 4, 2020
- 2,673
- 7,356
Pia sio ngumu kama inavyo semekana.Siyo rahisi kama inavyofikirika...
Mwanafunzi akishafika chuo tu tayari anakuwa UVCCM.Naona hapa mheshimiwa alitelezaView attachment 2490576
Hahahahahahha aiseee umenipa kicheko asubuhi
Ukifanya hiv unakua shoga automaticallyHata January ni ngumu si hivi aseee watu wa kanda ya ziwa mnazingua
[emoji58][emoji34]View attachment 2490798