antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 49,687
- 130,563
Astaghfirullah!
🤣🤣Mabeberu ndo huzifanyia hivi nchi za Kiafrika deile!![]()
Aisee..Nchini Japani, kulala kazini hakutakufukuza kazi. Kwa kweli, kuchukua muda kwa ajili ya kusinzia kunaonekana kuwa jambo la heshima na ishara ya bidii kwa waajiri.
View attachment 2488937
Hatarii....Kipapai cha TangaView attachment 2488587
Jambo liko jikoni..