Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nimecheka mpaka watu wamenishangaa...Yaani wewe basi tu!

Usimwage kuku kwenye mtama mwingi. Hapa public tunaitana kaka na dada kumbe chini kwa chini tunakulana. Akili last born mwenzangu akiliiii!
trash

Hata Yesu alisema atakayenikiri mbele za watu nami nitamkiri mbele za baba yangu. Ndio najua mimi sio Yesu lakini pia mimi sio bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…