I like it, linasumbua sana bora kulipasua tu!
Nisipaweze kwanini?Mwanza hupawezi....
Labda mhamie wote na Lenie akusaidie kukufunda jinsi ya kula ugali mgumu na makande [emoji16]
Ila Arusha kuzuri dah! Nimepita wiki jana hapo Silver Palm hapajabadilika sana. Beautiful weather....
Jamani Midekooo!
Aisee[emoji2815]Hamna cha dua wala nini wee pambana uolewe uachane na mijegeje ya kimasikhara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]