Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,382
We nawe. Kwa nini unaagiza mavyakula ambayo huyajui?Kuna mtu alinitoa dinner
Nikajishaua ule uzungu wa ‘order chochote nakula kasoro sumu.
Mtu akaniuliza ushawahi enda eneo flan? Nikamwambia hapana. Akasema basi twende pale, wana vyakula vya kimataifa.
Tumefika
Nikaagiza glass ya white wine- nilichofaidi 😂
Chakula si ndo yeye sasa, basi akaagiza kitu kinaitwa INJERA, ni Ethiopian food.
Aliisifiaa, nikadhani itakuwa poa.
Mhh ngoma ilikuwa mbaya jamani 🙈 najikaza ila wapi,, ye anafakamia tu.
Nimekoma huo uzungu
Agiza- ni mwendo wa makange nusu tu
Unaagiza unachokipenda halafu hicho kipya unakijaribu bites tu from his plate...na ukikipenda safari nyingine ndo unakiagiza ili kumfurahisha.
Ulipofika home ilibidi ukajipikilishe tena ama? 😁

najikaza ila wapi,, ye anafakamia tu.

