Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20230115-151224.jpg
 
She is s beauty....

Wanaume wanakwama wapi kumuwowa...??!!

Au ameshawolewa...???!
Kama kawaida yenu si ajabu anazingua hatari. Akishavuka 30 huko kwenda mid 30 odometer imekula mileage za kutosha na mabaharia wa kumshobokea wamepungua ndiyo anashtuka....


Mwaka mpya umekukutaje lakini?
 
Back
Top Bottom