Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Yaani sielewi,nilienda dukani sasa sijui niiacha pale au nilidosha njiani, nashtuka nipo duka lingine nitoe hela nimebakiwa na 3500

Nusu nivue nguo
Itakua uliangusha, pole. Mwenzako kuna siku nimeingia dukani agiza vitu hela sasa naziona? wacha nidate kumbe kabegi kangu kuna sehemu pamefumuka hela nilizikunja pamoja zikawa zimezama pale palipofumuka zipo kwa ndani humo humo nisijue yaan nilishaanza kulia kupoteza hela kunauma bora uzitumie kiholela ziishe ujue moja ila sio kupoteza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea mzozano kati yao desemba 27, 2022.

Jamila ameliomba Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limkanye mwanaume huyo ili aweze kuendelea kuishi naye kwakua bado ana upendo naye.
 
Yesu alishika amri zote kikamilifu, ili wewe ukitubu na kumwamini yeye, uhesabiwe kuwa wewe ndio umeshika kikamilifu, hiyo ndio maana ya kuokoka "kuhesabiwa haki kwa imani"
2 Kor. 5:21, Gal. 4:1-6, Rum. 3:23-26, Rum. 5:1

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Ni kwa neema tu. Zingine zote mbwembwe tu...
 
IMG_20230104_110744_410.jpg
 
Itakua uliangusha, pole. Mwenzako kuna siku nimeingia dukani agiza vitu hela sasa naziona? wacha nidate kumbe kabegi kangu kuna sehemu pamefumuka hela nilizikunja pamoja zikawa zimezama pale palipofumuka zipo kwa ndani humo humo nisijue yaan nilishaanza kulia kupoteza hela kunauma bora uzitumie kiholela ziishe ujue moja ila sio kupoteza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani jana nilikiwa naomba masaa yarudi nyuma daah, itakuwa nilitupa njiani,maana nimeingia dukani nilipe sasa hela hamna,

Nikawa najiuliza au nimeacha nyumbani? Lkn si nilibeba? Ngoja nikaangalie nyumbani
 
Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea mzozano kati yao desemba 27, 2022.

Jamila ameliomba Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limkanye mwanaume huyo ili aweze kuendelea kuishi naye kwakua bado ana upendo naye.
Ana hatari huyo....
 
Back
Top Bottom