Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Buffalo woman?maana yake nini?
Hii nascreenshot natuma kama ilivyo....Ila Mbappe ni wengi sana tunamla kwa macho 🤣🤣
Sasa unaa utakusaidia nini? 🤣🤣 nikiachika una kaka mwingine wa kunipa?Hii nascreenshot natuma kama ilivyo....
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌Naona mpingo🤣🤣🤣
Ninae yule uncle🤣🤣Sasa unaa utakusaidia nini? 🤣🤣 nikiachika una kaka mwingine wa kunipa?
😂😂😂 chitakiiiiNinae yule uncle🤣🤣
Ni mkazi wa kitongoji cha Buffalo kule New York...kama sijakoseaBuffalo woman?maana yake nini?
Aririririririiii😂😂😂 chitakiiii
Kwa kaka nimekufa tayari, bado kuoza
OK,asanteNi mkazi wa kitongoji cha Buffalo kule New York...kama sijakosea