TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,893
- 8,483
Mbona sioni tangazo la tigopesa au bhasi, turudi kwa aliemchora, kama namuona
Mbona sioni tangazo la tigopesa au bhasi, turudi kwa aliemchora, kama namuona
Akiwa anaendelea kukua si ndio inamnyonga
Huyo ana balaa sana
Of course....Edited
Usijitose kuanza kuhudumia na kuingia magharama makubwa makubwa kabla hujajiridhisha. Mtakaramka lini?Hao ndio wanawakeView attachment 2464432
Sahani moja kwa mama ntilie 1500 hilo nachemshia tambi na kukaangia mayai tu kwa zarula zetu zile za kibaharia sio kwa shida hyo