Hiki ni kituko mtandaoni kwa namna gani?
Yeah,shetani anakula ten na yeye kwa kuwa kafanya kazi kubwa zaidi anakula mbau.
EditedWamemsahau Nyerere
View attachment 2461188
Dah! Udenda umesha nijaa mdomoni ilihali nimetoka kula! Magomeni mikumi msikitini pale! Hapajawahi niacha salama
Kawa mwanamke kamili sasa! Hongera zake
Mungu aturehemu hizi nguo zcfike Tanzania itakua patashika, wale wakina NIANGUSAGE na wale wanao shinda na MISULI tutaoneana huruma sana
Yupo showroom
Mungu aturehemu


Truck control arm zimekufa miguu ya nyuma imekaa camba
Me as introvent