Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378
Aisee, kuna upigaji sasa hivi, ni upigaji wa kiwango cha lami. Inawezakana mama hajastukia, au wamemzidi ujanja kinamna.Kuna obsession kubwa na mikopo. Kwa nini? TRA wamedorora kukusanya mapato au matumizi ya serikali yamezidi? Tatizo hasa ni nini?
Kila mtu anajua mikopo ina madhara huko mbele ya safari. Why this obsession? Hazina hakuna kitu ama?
View attachment 2453458View attachment 2453459View attachment 2453460View attachment 2453461View attachment 2453462View attachment 2453463
Una uhakika kuwa yeye hapigi?Aisee, kuna upigaji sasa hivi, ni upigaji wa kiwango cha lami. Inawezakana mama hajastukia, au wamemzidi ujanja kinamna.
Hata kama anapiga, anatakiwa awadhibiti wapigaji wengineUna uhakika kuwa yeye hapigi?
Wanasiasa ni wale wale tu....
Hata huko ni kijiweni kwangu sana tu...
Threads zako ni kama maji - usipozinywa utazikoga tu!
Nikitoka hapa nakwenda kuangalia mitongozano ya selfika. Halafu huko kwa watoto. Mikosi ikinielemea nazama kwenye chumvi. Libundi likinililia dirishani natafuta nyuzi za kilozi....kifo nacho kuna nyuzi zake. Yaani mzee Baba umekaba kila kona yaani.
Nilifikiri mwaka huu wangekupa tuzo ya heshima kwenye khafla ya Stories of Change. You da man!

Mikosi ikinielemea nazama kwenye chumvi. Libundi likinililia dirishani natafuta nyuzi za kilozi....kifo nacho kuna nyuzi zake. Yaani mzee Baba umekaba kila kona yaani.

The river between by China Achebe!Do you see anything else apart from the cougar lying about her age?View attachment 2455226

Hata kwa maneno tu hawezi kuwakemea sembuse matendo....Hata kama anapiga, anatakiwa awadhibiti wapigaji wengine
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app