McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,128
- 12,638
PELE on Best Player Today
[emoji2961][emoji23]Sheria mkononiView attachment 2454293
Watu kweli ni wa-bad.Mwamba haamini yaani....
View attachment 2453263
Naamini watu wa suicide pia watakuwa wanapapenda sana...na wale wa selfie za hatari kutafuta likes na umaarufu kama huyu [emoji116]. Wakiteleza tu parapanda inalia....Jiwe la mapenzi Nchini Norway[emoji1189] hapa wataliii kutoka Nchi mbali mbali huja Na kufurahia wakiwa pamoja Na wapenzi waoView attachment 2455164
Ukiwa nayo hii dola milioni 10+ hukosi1959 Chevrolet ImpalaView attachment 2455163
Huyu mama mtu mzima sana ila naona baharia amekomaa naye mpaka amle [emoji16][emoji16][emoji16]
Nadhani ni wakati ule alipoteguka mguu akasema kapigwa na watu wasiojulikana [emoji16][emoji16][emoji16]Watu kweli ni wa-bad.
Wame-edit na kuweka picha ya mwenyekiti ??!!!
Kama ziwa victoria a.k.a nyanza tumeshindwa kuitumia ije hako kabwawa ...viongozi wahovyooooo