Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,170
- 829,112
- Thread starter
- #136,261
Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya akielekea katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo Jumatano Desemba 21, 2022 ambapo rufaa iliyokatwa na DPP kupinga hukumu iliyomwachia huru na wenzake waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi itakapotajwa. Picha na Janeth Mushi






