Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Madelu juzi kati katuambia Rais Samia hajakopa sana, kwamba mikopo mingi ilikopwa na Hayati Magufuli. Leo Rais Samia anakiri amekopa sana, ila anajitetea ni kwa sababu kajenga sana kuliko awamu zote. Swali;
20221221_060359.jpg
20221221_060405.jpg
 
Ona huyu!!! Bora mlimchukua,anafikiri anaongea kitu cha sifa na heshima kumbe anatengeneza uncertainty. Kushindwa kulala vizuri ni tatizo linalo ondoa focus ktk uwajibikaji.Kulala ni nguzo muhimu ya kujenga fikra bora.Rais naye awe na subira ktk maongezi yake na hawa.
20221221_061039.jpg
 
Ona huyu!!! Bora mlimchukua,anafikiri anaongea kitu cha sifa na heshima kumbe anatengeneza uncertainty. Kushindwa kulala vizuri ni tatizo linalo ondoa focus ktk uwajibikaji.Kulala ni nguzo muhimu ya kujenga fikra bora.Rais naye awe na subira ktk maongezi yake na hawa.View attachment 2453237
Liongo hili jamaa tangu kwenye Korona mpaka sasa hivi. Masaa mawili hawezi kufanya kazi sawasawa na ni hatari sana kwa kiongozi wa nchi. Hii siyo sifa bali ni uthibitisho kuwa mama anahitaji tiba ya insomnia. It can kill!
 
Back
Top Bottom