Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

1670928080813.jpg
 
Ebwana kichwa cha juma kichomwe na mbigili harafu utulie lazima jeshini wangenikimbiza siku hiyo hiyo
Kuna maservice men mzee wanajiona kama Navy seal au Delta force vile wanahandle makuruta sisi tena sana sana baada ya kutoka form6 wanadhani tukifungua mioyo tuunge kozi tutawapita, So wakawa wanatuzingua sana
 
Back
Top Bottom