Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
[emoji41]
Eti wanajizima data[emoji849][emoji16][emoji16][emoji16] hili nalo neno, kwani hawajawahi kusikia watu wamegandana
Kuna vocha
Simu kuharibika nk....Kuna vocha
Kuna kusuka
Kuna kutengeneza kucha
Kuna shopping
Kuna pocket money
Kuna feminine products
Kuna zawadi
Kuna yeye au watu wake wa karibu kuugua.
Kuna...