Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,377



Nakuja huko tarehe 20 mwezi huu. Utakuwepo?
Karibu sanaNakuja huko tarehe 20 mwezi huu. Utakuwepo?
Raha ya Yutong 🔥🔥🔥😋😋😋Raha ya potabo![]()
![]()
Na hata sijasikia kama kuna mashabiki wa simba au yanga huko uingereza,kama wa arsenal na man u walivyotapakaa huku afrika?Ni Economics mkuu. Timu za Afrika haziwezi kushindana na timu za Ulaya kiuchumi. Ndiyo maana hata wachezaji wetu wazuri wakipata nafasi ya kwenda huko Ulaya baadhi yao wanaishia kuchukua na uraia wa huko kabisa.
Mchezaji mzuri wa kizungu achukue uraia wa nchi ya Kiafrika ili acheze ligi ipi? Hata kama amezaliwa Afrika akienda kuutandika Ulaya ndo harudi tena na anachukua uraia wa ancestral land ya wazazi wake.
Ni sababu zile zile zinazofanya Waafrika waende Ulaya kusaka ajira (and not vice versa). Uchumi!
Ukoloni mamboleo. Bado tunatawaliwa mkuu - kiakili, kielimu na kisaikolojia....Na hata sijasikia kama kuna mashabiki wa simba au yanga huko uingereza,kama wa arsenal na man u walivyotapakaa huku afrika?
Na hili ndilo nililotaka kusema. Waafrika bado hatujapata uhuru. Tunajidanganya kwamba tuko huru lakini sii kweli.Ukoloni mamboleo. Bado tunatawaliwa mkuu - kiakili, kielimu na kisaikolojia....