Nanyi vimbaumbau kwa roho mbaya, gubu na kusema wengine kha! Nina miaka zaidi ya 30 naendesha haya mayutongs...hayana shida hiyo na yanajua yakizembea hiyo sekta yanaharibu kila kitu...By the way hata vimbaumbau vichafu na vinavyonuka vipo kibao...
Nshapaniki tayari nisamehe. Never touch my yutongs pulizi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Mengine likitoa nguo kama siyo mzoefu unaweza kutoka nduki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2440747