mamylove
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 1,090
- 1,783
Ndugu yangu kama wewe una mwanasheria wako sisi wengine hatuna[emoji2960][emoji2960][emoji2960]Mpe marks mchoraji.View attachment 2439859
Upo? Kwema huko Uyole?
Aya ndo yenyewe
[emoji16][emoji16]shida ya wake zetu wa kiswahili utamfanyia hivyo akija wala hawi excited sana sana anaona umepoteza muda bureKama siyo mwelewa usije ukashangaa ukapata kesi.
Nani alinunua haya matunda wakati we najua hupendi matunda.
Nani alikusaidia kupanga hivi.
Kwa nini nimeondoka ndo umeamua kuwa romantic. Hii idea umepewa na nani?
Shauri yako!
[emoji16][emoji16]huyu alitisha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2439987
Ni heri akakaa kimya aendelee kulamba zake asali mdo mdo kama hayupo kuliko kutaka kuongea ili kufurahisha watu!!Huyu mzee huyu au basi tu, Ila ni moja kati ya wazee wa ovyo sana[emoji45][emoji45][emoji45][emoji45]