Fame n securityWizara ya Ardhi alifanya kazi nzuri sana sema tu system ikikuchoka ndo basi tena...and these guys are super rich. Sijui kwa nini huwa hawapendi kupumzika na kula haya mahela ya bure waliyoiba. This real puzzles me!
View attachment 2440022
Dah ningekuwa Kilingeni muda huu ingekuwa kuku zinabanana chumbaniMatumbo moto...Waganga watapiga hela sana kipindi hiki...
View attachment 2440164

Hii kali sanaIla JF kuna malijendi aisee. Eti kuna jamaa lilimtapeli mpaka Melo....na alipofurukuta akalimwa ban
View attachment 2440207

Nimeona mahala hii nimecheka hadi machoziIla JF kuna malijendi aisee. Eti kuna jamaa lilimtapeli mpaka Melo....na alipofurukuta akalimwa ban
View attachment 2440207
Dah ningekuwa Kilingeni muda huu ingekuwa kuku zinabanana chumbani![]()

Na mnakulaga kuku mpaka basi maana ni kuagiza tu dah!Dah ningekuwa Kilingeni muda huu ingekuwa kuku zinabanana chumbani![]()
Asubuhi supu
Achana mchuzi wa nazi jioni ya kubanika.. Yaani ningezila mpaka zinikome![]()

msimu wa kupiga hela huuHomo Sapiens kiumbe wa hovyo kuwahi kutokea aisee. Acha tu afutike maana hakuna namna!Umetukana![]()
![]()
Kwa nini unasema hivyo Mshana Jr ?Shetani ana nguvu sana
Mwanaume yupo ugenini sababu nimeona chupi zimefuriwa na kuanikwa bafuni na hicho chumba mazingira/mpangilio wa ndani ni wa kike kike

LiyagambaMwanaume yupo ugenini sababu nimeona chupi zimefuriwa na kuanikwa bafuni na hicho chumba mazingira/mpangilio wa ndani ni wa kike kike
Ila demu ana tako zuri kweli kweli(demu wa hivyo ni ugonjwa wangu)![]()





Eng'washi bhageshiLiyagamba![]()
Ng'wagūkū nkoyiEng'washi bhageshi



