SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,071
- 75,416
100%Mpe marks mchoraji.View attachment 2439859
100%Mpe marks mchoraji.View attachment 2439859
Short time ✔️
Mazabuni na kutangaza matenda miaka, alafu wanakuja kuleta famba...Kuwa mwizi nyakati za Kidigitali unahitaji roho ngumu sana. Unaleta treni za mtumba Old escaping from Subibo unawaambia hii ni Billion 2.2. Wenzako wana google tu aina ya treni na bei zake brand new bei ni nusu ya bei zenu. Oneni aibu.View attachment 2440420
Wahuni haooo dah
Wanajiona wajanja dunia yote ya kwao...[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Supa dupa yutongs zinakuwa hivi bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hureee supa dupaaView attachment 2440391