Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] Hivi ni zaidi ya vituko. Mungu Ibariki Tanzania!
[emoji1787] huyu nafukuza muda huo huo.Daddy's little princesses ni shida! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2436622
We unajua kupika?
mungu awape umli mrefu san[emoji119]View attachment 2436002
dah umenikumbusha machungu kuna pc yang moja kal nilipoteza iviiv kisa sina pesa
mwaka ng'ombeSijataja kabila View attachment 2436027
Kupika najua ndioWe unajua kupika?
Halafu ile kesi yangu utaimaliza lini lakini?
Ile kesi ulinizingua sana na haitakaa iishe hivi hivi tu. Lazima nilipize kisasi kwa namna moja au nyingine (japo kisasi ni cha Bwana!) [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]Kupika najua ndio
Jaman mambo ya kesi si tufanye yameisha lkn usinifanyie hivi [emoji17]
Alafu naomba zawadi ya Xmass[emoji2957]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] jaman, haya shukran nitakaribia. Kesi yangu tutaimaliza huko huko.Ile kesi ulinizingua sana na haitakaa iishe hivi hivi tu. Lazima nilipize kisasi kwa namna moja au nyingine (japo kisasi ni cha Bwana!) [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]
Zawadi ya Krismasi njoo Misungwi. Tunachinja ng'ombe watatu madume tupu (mayagamba).
[emoji23][emoji23] chizi weengoja ni ruke ruke kitandan majiran wajue napewa
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji276]
Hapo sawa...[emoji23] jaman, haya shukran nitakaribia. Kesi yangu tutaimaliza huko huko.
Sent using Jamii Forums mobile app