Kitomari xxiv
JF-Expert Member
- Sep 26, 2021
- 1,285
- 12,572
.
Nina take care na see you lv 🤣kama zoteee
Hongera yakoNina take care na see you lv 🤣kama zoteee
MtajijuwaHongera yako
Tulio single hizo mambo tunazionea kwenye tamthilia🙃
Ni nini lakini 🤣🤣🤣
Tena jiandae, mwaka hauishi huuNajiona 🤣🤣🤣
Hapana aiseeTena jiandae, mwaka hauishi huu
Tupingeeeee 🤣🤣Hapana aisee
Mwaka tunamaliza 🤣
Ndio niko njiani naelekea kwa mtaalamu hapaLabda mniloge 😆
Ila kwa akili zangu mwaka tunamaliza
😂😂😂😂 ujue lakini unanipa stress? We haya tuNdio niko njiani naelekea kwa mtaalamu hapa
Alooo utajua hujui 🤣
Dada mkwe ndio nishaamua😂😂😂😂 ujue lakini unanipa stress? We haya tu
😂😂😂😂 hakii ungekuwa hukuDada mkwe ndio nishaamua
Tulia usikilizie show😛
Naweza ibuka siku yoyote huko ujue😂😂😂😂 hakii ungekuwa huku
Nahisi mahari mngepeleka tar 15 Dec
Em kwendeni 🤣🤣Naweza ibuka siku yoyote huko ujue
Tena ngoja nimkazanie ili lile kabati lijae zaidi 🤣🤣🤣